sw_tn/2pe/01/03.md

20 lines
471 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Aliyetuita
Kwanza Mungu alitufikia. "Sisi" Neno hili linamanisha Petrop pamoja na wasikilizaji wake.
# Kwa ajili ya uzuri wa utukufu wake
"kwa njia ya heshima yake na uzuri wa maarifa"
# Kwa njia hii alitutumainishi ahadi kuu za thamani
"Ahadi za thamani za Mungu zilikuja njia ya heshima na uzuri wa maarifa"
# asili ya Mungu
"tabia ya ukamilifu wa Mungu"
# kwa kadiri tunavyoendelea kuachc uovu wa dunia
kadiri unavyoendelea kuziacha tamaa mbaya za dunia."