sw_tn/2ki/18/22.md

8 lines
228 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Rabshake anaendelea kueleza ujumbe kutoka kwa watu wa mfalme wa Ashuru.
# si yeye ambaye mahali pa juu ... Yerusalemu
Hili swali linasadiki wasikilizaji wanajua jibu na limetumika kwa ajili ya kusisitiza.