# Maelezo ya Jumla: Rabshake anaendelea kueleza ujumbe kutoka kwa watu wa mfalme wa Ashuru. # si yeye ambaye mahali pa juu ... Yerusalemu Hili swali linasadiki wasikilizaji wanajua jibu na limetumika kwa ajili ya kusisitiza.