sw_tn/2ki/14/26.md

24 lines
671 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yalikuwa machungu sana
Kuteseka ilikuwa vigumu ilizungumziwa kana kwamba ilikuwa ladha chungu. "ilikuwa chungu sana"
# hapakuwa na mwokozi kwa ajili ya israeli
"hapakuwa na mtu yeyote angeweza kuiokoa israeli"
# kufuta
Kuiangamiza Israeli kabisa inazungumziwa kana kwamba Yahwe amewasafisha kwa nguo. "angamiza kabisa"
# jina la Israeli
Hapa "jina la Israeli" linawakilisha Israeli yote na wenyeji wake. "watu wa Israeli"
# chini ya mbingu
"juu ya nchi"
# aliwaokoa kwa mkono wa Yeroboamu mwana Yehoashi
Hapa "mkono" unarejea kwa uweza. Yeroboamu aliwashinda maadui wa Israeli kwa msaada wa jeshi lake. "alimuwezesha Mfalme Yeroboamu na jeshi lake kuwaokoa"