sw_tn/2ki/12/09.md

28 lines
686 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Badala yake
"Badala ya makuhani kukusanya pesa"
# upande wa kulia kama mtu anaingia kwenye madhabahu ya Yahwe
"upande wa kulia wa kuingia kwenye hekalu"
# weka kwenye
"weka kwenye kasha" au "kuweka kwenye sanduku" (UDB)
# pesa ambazo zilizokuwa zimeletwa
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "pesa ambazo watu walizileta"
# kuweka pesa katika mfuko na kisha kuzihesabu
Matoleo mengi yanaiweka hii katika mpango wa mantiki kama vile "kuhesabu pesa na kuziweka katika mifuko."
# weka pesa kwenye mifuko
Maana ziwezekanazo ni 1) "kuweka pesa katika mifuko" au 2) "kufunga pesa juu katika mifuko" (UDB).
# pesa zilipatikana
"pesa zilizokuwa zimepatikana katika kasha"