# Badala yake "Badala ya makuhani kukusanya pesa" # upande wa kulia kama mtu anaingia kwenye madhabahu ya Yahwe "upande wa kulia wa kuingia kwenye hekalu" # weka kwenye "weka kwenye kasha" au "kuweka kwenye sanduku" (UDB) # pesa ambazo zilizokuwa zimeletwa Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "pesa ambazo watu walizileta" # kuweka pesa katika mfuko na kisha kuzihesabu Matoleo mengi yanaiweka hii katika mpango wa mantiki kama vile "kuhesabu pesa na kuziweka katika mifuko." # weka pesa kwenye mifuko Maana ziwezekanazo ni 1) "kuweka pesa katika mifuko" au 2) "kufunga pesa juu katika mifuko" (UDB). # pesa zilipatikana "pesa zilizokuwa zimepatikana katika kasha"