sw_tn/2co/05/11.md

24 lines
663 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kuijua hofu ya Bwana
"kuijua nini maana ya kumhofu Mungu"
# Jinsi tulivyo, inaonekana wazi na Mungu
Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "Mungu hutuona dhahiri wanadamu jinsi tulivyo"
# hivyo mnaweza kuwa na majibu
"hivyo mnaweza kuwa na kitu cha kusema juu yake"
# inaeleweka pia kwenye dhamiri zenu
"kwamba pia mmedhihirishwa kwayo"
# ili kwamba muweze kuwa na jibu
"ili kwamba muweze kuwa na kitu cha kusema"
# wale wanaojivunia kuhusu mwonekano lakini sio kile kilicho ndani ya moyo
Katika sentesi hii Neno "kuonekana" linaelezea mwonekano wa nje wa vitu kama vile uwezo, na hali.Neno "moyo" lina maanisha utu wa tabia ya ndani ya mtu.