sw_tn/2co/03/17.md

20 lines
672 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sasa sisi sote
Hapa neno "sisi" lina maanisha kwa wakristo wote, akiwemo na Paulona Wakorintho.
# pamoja na nyuso zisizo wekewa utaji, huona utukufu wa Bwana
Sivyo kama Waisraeli amabao wasingeweza kuuona utukufu wa Mungu kwenye uso wa Musa kwa sababu alikuwa ameufunika kwa utaji, hakuna kitu chochote cha uwazuia waamini kuuona na kuufahamu utukufu wa Mungu.
# Tunabadilishwa ndani ya muonekano uleule
Roho anawabadilisha waamini kuwa wenye utukufu kama yeye
# kutoka shahada moja ya utukufu kwenda nyingine
"kutoka katika kipimo kimoja cha utukufu kwenda kwenye kipimo kingine cha utukufu.
# kama ilivyo kutoka kwa Bwana
"kama vile ilivyo kutoka kwa Bwana"