sw_tn/2ch/26/14.md

8 lines
167 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Chapeo.
Chapeo ni kitu kifaa cha kujilindia kinachofunika kichwa.
# Deraya za majini.
Hili ni vazi la chuma linalofunika mwili mzima likiunganishwa na minyororo.