# Chapeo. Chapeo ni kitu kifaa cha kujilindia kinachofunika kichwa. # Deraya za majini. Hili ni vazi la chuma linalofunika mwili mzima likiunganishwa na minyororo.