sw_tn/2ch/16/04.md

16 lines
369 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Akatuma maakida wa jrshi dhidi ya miji ya Israeli
Akatuma majeshi yake kuivaamia miji
# Iyoni, Dani, Abelimaimu...miji ya kuhifadhia ya nafutali
Hii ni miji katika Israeli
# Akaisitisha kazi yake
Aliyaamuru majeshi yake kuacha kuuzungushia ngome Rama na kufanya kazi zingine huko"
# Mbao.
Mbao ni vipande vikubwa vya miti vitumikavyo kujengea nyumba au kuta.