# Akatuma maakida wa jrshi dhidi ya miji ya Israeli Akatuma majeshi yake kuivaamia miji # Iyoni, Dani, Abelimaimu...miji ya kuhifadhia ya nafutali Hii ni miji katika Israeli # Akaisitisha kazi yake Aliyaamuru majeshi yake kuacha kuuzungushia ngome Rama na kufanya kazi zingine huko" # Mbao. Mbao ni vipande vikubwa vya miti vitumikavyo kujengea nyumba au kuta.