sw_tn/2ch/04/19.md

12 lines
247 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Selemani akazitengeza.
Watumishi wa Selemani walitengeneza vitu chini ya amri yake.
# Samani zote.
Mabakuli yote na vifaa vyote ambavyo vilitumika katika nyumba ya Mungu.
# Mkate wa uwepo.
Angalia jinsi ulivvyotafsiri hili neno katika 2:4.