# Selemani akazitengeza. Watumishi wa Selemani walitengeneza vitu chini ya amri yake. # Samani zote. Mabakuli yote na vifaa vyote ambavyo vilitumika katika nyumba ya Mungu. # Mkate wa uwepo. Angalia jinsi ulivvyotafsiri hili neno katika 2:4.