sw_tn/1sa/21/03.md

24 lines
537 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sasa basi
Daudi anaanza sehemu mpya ya mazungumzo.
# chakula gani kinapatikana hapa?
Hapa "kwa upande" ni metonymy ambayo ina maana inapatikana. AT "Ni chakula gani ambacho unaweza kunipa?"
# Nipatie mikate mitano
Hili ni ombi la heshima.
# mkate wa kawaida
mkate ambao makuhani hawakutumia katika ibada
# mkate mtakatifu
mkate ambao makuhani wametumia katika ibada
# kama vijana hawajatembea na wanawake.
Hii inaweza kutafsiriwa kama hukumu kamili. AT "Wanaume wako wanaweza kula kama hawajalala na wanawake hivi karibuni"