sw_tn/1sa/15/34.md

12 lines
319 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Rama ... Gibea
Haya ni majina ya mahali.
# akapanda kwenda nyumbani kwake Gibea
Gibea ilikuwa juu kuliko Gilgali ambapo Sauli na Samweli walikuwa wakizungumza.
# Samweli hakumuona tena Sauli hadi siku ya kifo chake
Hii inaonesha kuwa Samweli alikufa mbele ya Sauli lakini hakumuona Sauli tena kipindi akiwa hai.