sw_tn/1ki/22/21.md

12 lines
368 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama sasa
Neno "tazama" linaongeza msisitizo wa kile kinachofuata.
# na kuwa roho idanganyayo katika vinywa vya manabii
Neno "roho" linamaanisha mtazamo wa manabii; "vinywa" inamaanisha kile watakachosema. "Nitawafanya manabii wote waseme uongo"
# BWANA ameweka roho idanganyayokwenye vinywa vya hawa manabii wako
"amewafanya manabii wako wote kuongea uongo"