# Tazama sasa Neno "tazama" linaongeza msisitizo wa kile kinachofuata. # na kuwa roho idanganyayo katika vinywa vya manabii Neno "roho" linamaanisha mtazamo wa manabii; "vinywa" inamaanisha kile watakachosema. "Nitawafanya manabii wote waseme uongo" # BWANA ameweka roho idanganyayokwenye vinywa vya hawa manabii wako "amewafanya manabii wako wote kuongea uongo"