sw_tn/1ki/21/05.md

12 lines
225 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nini moyo wako una huzuni
Hapa "moyo" unamaanisha hisia. "kwa nini una huzuni sana"
# Je, wewe si mtawala wa ufalme wa Israeli?
Wewe bado ni mtawala wa utawala wa Israeli."
# moyo wako uwe na amani
"uwe na furaha"