# Kwa nini moyo wako una huzuni Hapa "moyo" unamaanisha hisia. "kwa nini una huzuni sana" # Je, wewe si mtawala wa ufalme wa Israeli? Wewe bado ni mtawala wa utawala wa Israeli." # moyo wako uwe na amani "uwe na furaha"