sw_tn/1ki/20/13.md

36 lines
677 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
Neno "tazama" linatuandaa kuonekana kwa mtu mwingine kwenye hii habari. Lugha yako inaweza kuwa na neno zurizaidi.
# Je, umeliona hili jeshi kubwa?
"Tazama hili jeshi kubwa"
# Tazama, nitaliweka katika mkono wako leo
Neno "tazama" linatuandaa kusikiataaraifa za kushangaza zinazofuatia.
# Nitaliweka katika mkono wako
"Nitakupa ushindi dhidi ya jeshi hilo"
# Ni nani?
"Utafanya hilo kwa kumtumia nani?"
# Ndipo Ahabu alipowataarifu wale vijana
"Ahabu akawakusanyawale maofisa vijana"
# 232
"mia mbili thelethini na mbili"
# wanajeshiwote, jeshi lote
Virai hivi vinmaanisha jambo lilelile. Vimetumia kwa ajili ya kuonesha msisitizo.
# elfu saba
"7000"