# Tazama Neno "tazama" linatuandaa kuonekana kwa mtu mwingine kwenye hii habari. Lugha yako inaweza kuwa na neno zurizaidi. # Je, umeliona hili jeshi kubwa? "Tazama hili jeshi kubwa" # Tazama, nitaliweka katika mkono wako leo Neno "tazama" linatuandaa kusikiataaraifa za kushangaza zinazofuatia. # Nitaliweka katika mkono wako "Nitakupa ushindi dhidi ya jeshi hilo" # Ni nani? "Utafanya hilo kwa kumtumia nani?" # Ndipo Ahabu alipowataarifu wale vijana "Ahabu akawakusanyawale maofisa vijana" # 232 "mia mbili thelethini na mbili" # wanajeshiwote, jeshi lote Virai hivi vinmaanisha jambo lilelile. Vimetumia kwa ajili ya kuonesha msisitizo. # elfu saba "7000"