sw_tn/1ki/19/04.md

28 lines
440 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lakini ye ye mwenyewe akaenda mwendo wa siku moja
"altembea mwenyewe kwa siku moja"
# mti wa mretemu
"huu ni mtiunaokua kwenye jangwa"
# Akajiombea mwenyewe kufa
"Akaomba kwamba afe"
# Sasa yatosha, BWANA
"Mateso haya ni makubwa sana kwangu, BWANA" au "Sasa ninamashaka sana, BWANA"
# Inuka
"amka"
# mkate uliokuwa umeokwa kwa mkaa
"mkate ambao mtu alikuwa ameuoka kwenye jiwe lenye joyo"
# gudulia la maji
"chombo cha maji"