# Lakini ye ye mwenyewe akaenda mwendo wa siku moja "altembea mwenyewe kwa siku moja" # mti wa mretemu "huu ni mtiunaokua kwenye jangwa" # Akajiombea mwenyewe kufa "Akaomba kwamba afe" # Sasa yatosha, BWANA "Mateso haya ni makubwa sana kwangu, BWANA" au "Sasa ninamashaka sana, BWANA" # Inuka "amka" # mkate uliokuwa umeokwa kwa mkaa "mkate ambao mtu alikuwa ameuoka kwenye jiwe lenye joyo" # gudulia la maji "chombo cha maji"