sw_tn/1ki/18/45.md

12 lines
319 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikatokea
Neno hili limetumika hapa ili kuonyesha mahali ambapo tendo linaanzia. waweza kutumia neno linalotumika katika lugha yako
# mkono wa BWANA ulikuwa juu ya Eliya
"BWANA alimpa Eliya mkono wake"
# Akalikaza vazi lake kwa mshipi
Eliya alilikaza vazi lake kiunoni iloi kwamba miguu yake iwe tayari kukimbia.