# Ikatokea Neno hili limetumika hapa ili kuonyesha mahali ambapo tendo linaanzia. waweza kutumia neno linalotumika katika lugha yako # mkono wa BWANA ulikuwa juu ya Eliya "BWANA alimpa Eliya mkono wake" # Akalikaza vazi lake kwa mshipi Eliya alilikaza vazi lake kiunoni iloi kwamba miguu yake iwe tayari kukimbia.