sw_tn/1ki/07/50.md

12 lines
365 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Vile vikombe ... vilikuwa vimetengenezwa kwa dhahabu
"Wafanyakazi walivitengeneza vikombe ... kwa kutumia dhahabu halisi"
# Na bawaba ... vyote vilitengenezwa kwa dhahabu
"Pia walizitengeneza bawaba ... kwa kutumia dhahabu"
# bawaba za milngo
bawaba in aweza kumaanisha ima 1)bawaba ambazo huruhusu milango kugeuka, au 2) mashikio mabayo hushikilia milango.