# Vile vikombe ... vilikuwa vimetengenezwa kwa dhahabu "Wafanyakazi walivitengeneza vikombe ... kwa kutumia dhahabu halisi" # Na bawaba ... vyote vilitengenezwa kwa dhahabu "Pia walizitengeneza bawaba ... kwa kutumia dhahabu" # bawaba za milngo bawaba in aweza kumaanisha ima 1)bawaba ambazo huruhusu milango kugeuka, au 2) mashikio mabayo hushikilia milango.