sw_tn/1ki/07/01.md

24 lines
430 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Mwandishi anaandika juu ya ikulu ya Sulemani
# Iliimchukua Sulemani miaka kumi na tatu kujenga ikulu yake
Kwa Sulemani alikuwa mfalme, wafanyakazi wake walifanya kazi kwa niaba yake.
# ikulu yake
nyumba ya utawala
# ikulu iliyoitwa mwitu wa Lebanoni
nyumba ya mwitu wa Lebanoni
# Dhiraa
kiasi cha sentimita 46
# mihimili
Hizi ni mbao kubwakubwa za mierezi ambazo ziliwekwa kwa ajili ya kulinda paa