# Taarifa kwa ujumla Mwandishi anaandika juu ya ikulu ya Sulemani # Iliimchukua Sulemani miaka kumi na tatu kujenga ikulu yake Kwa Sulemani alikuwa mfalme, wafanyakazi wake walifanya kazi kwa niaba yake. # ikulu yake nyumba ya utawala # ikulu iliyoitwa mwitu wa Lebanoni nyumba ya mwitu wa Lebanoni # Dhiraa kiasi cha sentimita 46 # mihimili Hizi ni mbao kubwakubwa za mierezi ambazo ziliwekwa kwa ajili ya kulinda paa