sw_tn/1ki/06/37.md

16 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwaka wa nne ... mwaka wa kumi na moja
Hii ni miaka inayohesabiwa tangu Sulemani alipokuwa mfalme
# Nyumba ya BWANA
"hekalu"
# katika mwezi wa Ziv
Tazama 6:1
# Katika mwezi wa Buli
"Buli" ni mwezi wa nane wa kalenda Kihebrania. Mwezi huu uko katika ya sehemu ya mwezi Oktoba na sehemu ya kwanza ya mwezi wa Novemba.