sw_tn/1ki/06/11.md

28 lines
482 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Neno la BWANA
"BWANA alinena ujumbe wake"
# Nno la BWANA
Hapa "neno" linawakailisha ujumbe wa BWANA.
# utatembea katika maagizo yangu
"utaendelea kutii maagizo yangu yote"
# kuhukumu kwa haki
kutii na kufuata sheria za Mungu
# kutunza amri zangu na kuishi kwa hizo
"kuwa mwangalifu na kufanya kila kitu nilichokuambia"
# nitakapozithibitisha ahadi zangu
Muungu atazithibitisha ahadi zake kwa kutimiza kile alichoahidi kufanya.
# Nitaishi
"Roho yangu itakaa hekaluni"