# Neno la BWANA "BWANA alinena ujumbe wake" # Nno la BWANA Hapa "neno" linawakailisha ujumbe wa BWANA. # utatembea katika maagizo yangu "utaendelea kutii maagizo yangu yote" # kuhukumu kwa haki kutii na kufuata sheria za Mungu # kutunza amri zangu na kuishi kwa hizo "kuwa mwangalifu na kufanya kila kitu nilichokuambia" # nitakapozithibitisha ahadi zangu Muungu atazithibitisha ahadi zake kwa kutimiza kile alichoahidi kufanya. # Nitaishi "Roho yangu itakaa hekaluni"