forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
498 B
Markdown
16 lines
498 B
Markdown
|
# Taarifa kwa ujumla
|
||
|
|
||
|
Sulemani anaongea na mfalme Hiramu juu ya ujenzi wa hekalu
|
||
|
|
||
|
# kwani Hiramu alimpenda Daudi
|
||
|
|
||
|
"kwa kuwa Hiramu alikuwa rafiki wa karibu wa Daudi"
|
||
|
|
||
|
# kwa kuwa wakati wa uhai wake BWANA alikuwa akiwaweka adui zake chini ya nyayo za miguu yake
|
||
|
|
||
|
"BWANA alikuwa akimsadia Daudi kuwashinda adui zake" au"Daudi alikuwa na majukumu mengi kwa kuwa BWANA alikuwa akimpatia ushindi dhidi ya adui zake."
|
||
|
|
||
|
# kujenga nyumba kwa jina la BWANA
|
||
|
|
||
|
"kujenga hekalu ambalo kwalo tutamwabudu BWANA"
|