sw_tn/1ki/03/07.md

16 lines
469 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Sulemani anaomba hekima
# Mimi ni mtoto mdogo
Sulemani anasema kuwea yeye ni kama mtoto mdogo ambaye hajui kama baba yake anavyojua.
# Sijui namna ya kuingia na kutoka
"Sijui njia sahihi ya kufikiri" au "Sijui namna ya kuwa mfalme"
# Kwani ni nani awezaye kuwahukumu watu watu wako hawa walio wengi?
Sulemani anauliza swali ambalo jibu lake liko wazi. Jibu lake ni kwamba "hakuna awezaye." "Hakuuna awezaye kuwahukumuhawa watu wako wakuu"."