sw_tn/1ki/02/05.md

24 lines
850 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Mfalme Daudi anaendelea kumwambia Sulemani jinsi ya kuingoza Israeli.
# kile Yoabu ...alichonifanyia, na kike alichowafanyia
Dudi anamaanisha kitu kilekile mara mbili. "kile Yoabu ... alichonifanyia, hiyo maanisha,kile alichofanya"
# alimwaga damu vitani wakati wa amani
Yaweza kumaanisha 1) "aliwaua wale wanaume wakati wa amani kama vile ilikuwa wakati wa vita" au 2) "aliwalipizia kisasi wale wanaume wakati wa amani kwa sababu walikuwa wameuwa watu vitani"
# na kuiweka ile damu kwenye mshipi na kwenye vie viatu miguuni mwake
Yoabu alikuwa karibu sana na wale wanaume wakati alipokuwa akiuwaua kiasi kwamba damu yao ilirukia kwenye mshipi wake na kwenye viatu vyake.
# viatu
kile ambacho watu huvaa miguuni
# usiache mvi zake ziingie kaburini kwa amani
"hakikisha Yoabu anakufa kifo cha kuuawa kabla hajazeeka."