# Taarifa kwa ujumla Mfalme Daudi anaendelea kumwambia Sulemani jinsi ya kuingoza Israeli. # kile Yoabu ...alichonifanyia, na kike alichowafanyia Dudi anamaanisha kitu kilekile mara mbili. "kile Yoabu ... alichonifanyia, hiyo maanisha,kile alichofanya" # alimwaga damu vitani wakati wa amani Yaweza kumaanisha 1) "aliwaua wale wanaume wakati wa amani kama vile ilikuwa wakati wa vita" au 2) "aliwalipizia kisasi wale wanaume wakati wa amani kwa sababu walikuwa wameuwa watu vitani" # na kuiweka ile damu kwenye mshipi na kwenye vie viatu miguuni mwake Yoabu alikuwa karibu sana na wale wanaume wakati alipokuwa akiuwaua kiasi kwamba damu yao ilirukia kwenye mshipi wake na kwenye viatu vyake. # viatu kile ambacho watu huvaa miguuni # usiache mvi zake ziingie kaburini kwa amani "hakikisha Yoabu anakufa kifo cha kuuawa kabla hajazeeka."