sw_tn/1jn/02/18.md

32 lines
913 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Yohana anaonya juu ya wale waliokinyume na Kristo
# Watoto wadogo
"Wakristo wasiokomaa." Tazama sura 2:1 uone lilivyofafanuliwa
# ni wakati wa mwisho
Kile kirai "Wakati wa mwisho" humaanisha muda kabla ya kurudi kwa Yesu. "Karibu Yesu atarudi"
# wapingakristo wengi wamekuja,
"kuna watu wengi waliokunyume cha Kristo"
# kwa hali hii tunajua
"na kwa sababu ya hili tunajua" au "na kwa sababu wapngakristo wametokea, tunajua"
# Walikwenda zao wakatoka kwetu
"walituacha"
# kwa kuwa hawakuwa wa kwetu.
"lakini kwa kweli hawakuwa wa kwetu kwa namna yoyote" au "kwa uhalisia hawakuwa sehemu ya kundi letu katika nafasi ya kwanza ." Sababu iliyofanya waondoke ni kwamba, kwa kweli sehemu ya kundi; yaani hawakuwa waaminio katika Yesu Kristo.
# Kama wangekuwa wa kwetu wangeendelea kuwa pamoja nasi
"Tunajua hivi kwa sababu wasingekuwa wametuacha kama kwa kweli wangelikuwa waamini.