sw_tn/1co/15/08.md

8 lines
398 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mwisho wa yote
"Hatimaye, baada ya kuwa ameonekana kwa wengine"
# mtoto aliye zaliwa katika wakati usio sahihi
Paulo anatumia lugha ya nahau na pengine anamaanisha kuwa alimwamini Yesu baadaye sana ukilinganisha na mitume wengine. au anamaanisha kuwa, tofauti na mitume wengine hakushuhudia huduma ya Yesu ya miaka mitatu. kwa maneno mengine "mtu alisiyekuwa na uzoefu walioupata wengine."