sw_tn/1co/12/30.md

20 lines
555 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Je wote mnakarama ya uponyaji?
Kwa maneno mengine " si watu wate wanakarama ya uponyaji"
# wote mnaongea kwa lugha?
Kwa maneno mengine " si watu wote hunenea kwa lugha"
# wote mnatafasiri lugha?
kwa maneno mengine "si wote hufasiri lugha"
# Kufasiri
Hii inamaanisha kufafanua kile anachosema mtu kwa lugha isiyofahamika kwa wengine. au kueleza maana za maneno kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine
# Tafuteni sana karama zilizo kuu
Hapa inaweza kumaanisha 1) "tafuteni kwa bidii Mungu awape karama zinazoweza kulisaidia kanisa vizuri zaidi"