sw_tn/1co/11/09.md

8 lines
460 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wala...kwa mwanaume
Maneno haya yanarejea katika 11:7 kumaanisha kuwa " mwanamke ni utukufu wa mwanaume"Maana zinazo wezekana ni 1) "kuonyesha mfano kuwa anaye mwanamume kama kichwa chake" au 2) "kuonyesha mfano kuwa anamamlaka ya kuomba na kutoa unabii."
# kuwa na ishara ya mamlaka juu ya kichwa chake,
Hapa inaweza kumaanisha 1) "kuonyesha mfano kuwa anaye mwanamume kama kichwa chake" au 2) "kuonyesha mfano kuwa anamamlaka ya kuomba na kutoa unabii"