sw_tn/1co/09/24.md

28 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Paulo anaeleza kuwa anatumia uhuru wake kujirudi mwenye.
# Mnajui ya kuwa katika mbio wote washindanao hupiga mbio, lakini apokeaye tuzo ni mmoja?
Paulo anawakumbusha Wakorintho kwa kitu ambacho wanakijua ili awapashe habari nyingine mpya. " niwakumbushe kuwa ingawa wakimbiaji wote hushiriki katika mbio ni mkimbiaji mmoja tu anayepokea zaidi"
# kimbia mbio
Paulo anafananisha kuishi maisha ya Kikristo na kufanya kazi kwa ajili ya Mungu kukimbia mbio na kuwa mwanamichezo. Kama ilivyo katika mbio, maisha ya Kikristo na kazi zinahitaji nidhamu kwenye sehemu ya mkimbiaji, na kama kwenye mashindano Mkristo analo lengo mahususi.
# kimbia kupata tuzo
Paulo anaongea habari za tuzo ambazo Mungu huwapa watu wake waaminifu kana kwamba ni ni wakimbiaji wanaoshindana.
# taji iharibikayo...taji isiyoharibika.
Taji ni kitita cha maua yaliyosukwa pamoja. Mataji yalitolewa kama zawadi kwa wakimbiaji walioshinda michezo na mashindano. Paulo anaongelea maisha ya milele kama taji isiyonyauka.
# mimi sikimbii bila sababu au napigana ngumi kama kupiga hewa
"najua vizuri kwa nini ninakimbia, na ninajua ninachofanya ninapopigana ngumi"
# mimi mwenyewe nisiwe wa kukataliwa
" hakimu atasema kwamba nilitii taratibu."