sw_tn/1co/05/11.md

20 lines
604 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Paulo anawaambia namna ya kukaa na waumini waliopo kanisani ambao hawataki kukosolewa juu ya matendo yao ya zinaa na dhambi zilizo wazi kwa wengine.
# yeyote aliyeitwa
" yeyote anayejiita mwenyewe"
# Kaka au Dada
Hii inamaanisha mshirika katika ukristo ama wanamke au mwanaume
# Kwa hiyo nitajihusishaje kuwahukumu walio nje ya Kanisa?
Paulo anasisitiza kwamba yeye siyo hakimu wa watu walio nje ya kanisa. kwa maneno mengine "Sipaswi kutoa hukumu kwa watu ambao si wa kanisani"
# ninyi hamkuwahukumu walio ndani ya kanisa?
"Mnapaswa kuwahukumu wale wako ndani ya kanisa."