sw_tn/1co/03/10.md

20 lines
749 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kulingana na neemaya Mungu ambayo nimepewa
"Kulingana na uwezo ambao Mungu kweli amenipa kufanya."
# Niliweka msingi
Paulo alianzisha mafundisho yake ya imani na wokovu katika Yesu Kristo, hii ilikuwa kama kuweka msingi wa jengo.
# Mwingine anajenga juu yake
Paulo anamzungumzia mtu au watu wanaowafundisha Wakorintho kuwa kama maseremala wanaofanya ujenzi juu ya msingi aliokwisha kuujenga.
# Kila mtu
Hii inaonyesha kwa wafanyakazi wa Mungu kwa ujumla. "Kila mtu anayemtumikia Mungu."
# Hakuna mwingineanaweza kuanzisha msingi mwingine zaidi ya ule ambao umekwisha anzishwa.
hii inaweza kumaanisha " Tayari nimekwisha anzisha msingi ambao yeyote anaweza kujenga" au " hakuna awezaye kujenga Msingi zaidi ya ule niliojenga mimi, Paulo"