sw_tn/1co/01/26.md

24 lines
734 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
paulo anasisitiza nafasi ya waumini Mbele za Mungu
# Si wengi wenu
"Wachache tu kati yenu."
# hekima katika viwango vya kibinadamu
"jambo linalokubalika kwa watu wengi kuwa ni busara"
# mlizaliwa katika ukuu
"maalum kwa sababu familia yako ni muhimu" au '"kifalme"
# Mungu alichagua vitu vijinga vya dunia ili kuviaibisha vyenye hekima
Mungu alichagua kutumia watu wanyenyekevu ambao viongozi wa Kiyahudi waliamini kuwa si muhimu kuthibitisha kwamba hawa viongozihawakuwa wa muhimu zaidikuliko wengine kwa Mungu.
# Mungu alichagua kilicho dhaifu katika dunia kukiaibisha chenye nguvu
"Mungu aliwachagua wale ambao ulimwengu hufikiri ni dhaifu ili awaaibishe wale ambao ulimwengu hufikiri wapo imara"