sw_tn/1ch/27/23.md

20 lines
370 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wenye umri wa miaka ishirini au chini zaidi
"watu wenye miaka 20 au chini"
# kuongeza Israeli
"kuongeza idadi ya Israeli"
# kama nyota za mbinguni
Namba ya watu wa Israeli inalinganishwa na namba ya nyota kuonyesha zilivyo nyingi.
# Gadhabu iliangukia Israeli
"Mungu aliwaadhibu watu wa Israeli"
# Hii idadi haikuandikwa
"Hakuna aliye andika hii namba chini"