# wenye umri wa miaka ishirini au chini zaidi "watu wenye miaka 20 au chini" # kuongeza Israeli "kuongeza idadi ya Israeli" # kama nyota za mbinguni Namba ya watu wa Israeli inalinganishwa na namba ya nyota kuonyesha zilivyo nyingi. # Gadhabu iliangukia Israeli "Mungu aliwaadhibu watu wa Israeli" # Hii idadi haikuandikwa "Hakuna aliye andika hii namba chini"