sw_tn/1ch/18/14.md

20 lines
586 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Zeruia ... Ahiludi ... Ahitubi ... Abiathari ... Shavisha ... Benaia ... Yehoiada
Haya ni majina ya wanaume.
# mtunza kumbukumbu
mtu anaye fanya kazi ya kuandika maelezo ya maalumu ya matukio.
# Ahimeleki
Hili jina linawakilisha sahisho la "Abimeleki," ambalo tafsiri zingine zinatumia. Sahisho hili linafanya huu mstari ukubaliane na 8:15.
# Zadoki mwana wa Ahitubi na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani
Baadhi ya tafsiri ina sahisha hili kusema kwamba Ahitubi na Ahimeleki walikuwa makuhani wa kuu.
# Wakerethi ... Wapelethi
Haya ni majina ya makundi ya watu.