sw_tn/1ch/18/03.md

32 lines
491 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hadadezeri
Hili ni jina la mwanaume.
# Zoba
Hili ni jina la nchi.
# magari ya farasi elfu
"magari ya farasi 1000"
# wanaume wa farasi elfu saba
Hawa ni wana jeshi walio endesha farasi. "wanaume wa farasi 7000"
# wanajeshi wa miguu elfu ishirini
Hawa ni wana jeshi waliyo tembea. "wanajeshi wa miguu 20,000"
# aliwajeruhiku
kulemaza mtu au mnyama kwa kumkata msuli wa nyuma ya paja
# akahifadhi
kutunza kwa matumiza maalumu
# magari ya farasi mia moja
"magari ya farasi 100"