# Hadadezeri Hili ni jina la mwanaume. # Zoba Hili ni jina la nchi. # magari ya farasi elfu "magari ya farasi 1000" # wanaume wa farasi elfu saba Hawa ni wana jeshi walio endesha farasi. "wanaume wa farasi 7000" # wanajeshi wa miguu elfu ishirini Hawa ni wana jeshi waliyo tembea. "wanajeshi wa miguu 20,000" # aliwajeruhiku kulemaza mtu au mnyama kwa kumkata msuli wa nyuma ya paja # akahifadhi kutunza kwa matumiza maalumu # magari ya farasi mia moja "magari ya farasi 100"